Waziri wa Ustawi Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar,Bi Zainab Omar Mohamed Azindua kituo cha Mkono kwa Mkono (One sto Centre) huko Hospitali ya Chake chake Kisiwani Pemba - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Ustawi Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar,Bi Zainab Omar Mohamed Azindua kituo cha Mkono kwa Mkono (One sto Centre) huko Hospitali ya Chake chake Kisiwani Pemba

  Waziri wa Ustawi Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zainab Omar Mohamed alikata utepe kuashiria kufungua kituo cha Mkono kwa Mkono (One sto Centre) huko Hospitali ya Chake chake Kisiwani Pemba jana
Waziri wa Ustawi Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zainab Zanzibar Omar Mohamed akizungumza na wananchi wa Pemba mara baada ya uzinduzi wa kituo cha mkono kwa mkono huko Hospitali ya Chake chake Kisiwani Pemba, kushoto mwenye miwani Afisa Mdhamini Wizara hiyo Pemba Mauwa Makame Rajabu akifutiwa na Afisa Tawala Mkoa wa Kusini pemba Hanuna Ibrahim Massoud
 Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Fatuma Gharib akitoa maelezo juu ya kuanzishwa kwa kituo hicho na kile kilichopo Unguja kwenye hafla ya uzinduzi wa kituo cha Mkono kwa mkono huko hospitali ya Chake chake Kisiwani Pemba jana
 Mwakilishi kutoka Shirika la Save the Children Mubaraka Maman, akitoa maelezo machache kwenye hafla ya uzinduzi wa kituo cha Mkono kwa mkono huko hospitali ya Chake chake Kisiwani Pemba ambapo shirika hilo limechangia kwa asilimia kubwa kufanikisha ktuo hicho
 Mwakilishi kutoka Shirika la Save the Children Mubaraka Maman, akitoa maelezo machache kwenye hafla ya uzinduzi wa kituo cha Mkono kwa mkono huko hospitali ya Chake chake Kisiwani Pemba ambapo shirika hilo limechangia kwa asilimia kubwa kufanikisha ktuo hicho
Viongozi mbali mbali wa taasisi mbali mbali waliohudhuria katika ufunguzi wa kituo cha Mkono kwa Mkono (One sto Centre) huko Hospitali ya Chake chake Kisiwani Pemba jana wakimsikiliza Waziri wa Ustawi Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zazinab Omar Mohamed akitoa hutuba yake kwa wananch. Picha zote na Haji Nassor, Pemba

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages