

Picha juu na chini ni Waziri wa Uchukuzi Tanzania, Mhe. Waziri Mwakyembe (Mb) akisaini Mkataba kwa niaba ya Tanzania

Waziri wa uchukuzi, Mhe. Waziri wa Mwakyembe (Mb) akibadilishana
Mkatana na Waziri anayeshughulikia masuala ya Usafiri wa Ujerumani mara
baada ya Mkataba huo kusainiwa.

Waziri wa uchukuzi, Mhe. Mwakyembe (Mb) akimkabidhi zawadi Waziri mwenzake mara baada ya Mkataba kusainiwa

Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika majadiliano kabla ya kusainiwa Mkataba husika





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)