Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva ambaye pia ni mshindi wa
Serengeti Fiesta Super Nyota mwaka huu kutoka jijini Mbeya akikamua
mbele ya mashabiki waliohudhuria katika tamasha la Serengeti Fiesta
2012 linalofanyika usiku huu kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya watu
ni wengi na wamechangamka sana kwa ujumla onyesho liko Live kabisa
limepokelewa vizuri na wakazi wa jiji la Mbeya. www.fullshangweblog.com inakumuvuzishia matukio haya moja kwa moja kutoka uwanja wa Sokoine jijini Mbeya usiku huu.
Mmoja wa wasanii kutoka jijini Mbeya akiimba katika onesho hilo





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)