Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa Azungumzia Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira wa Nchi za Afrika - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa Azungumzia Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira wa Nchi za Afrika

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Waandishi wa Habari [Pichani hawapo]kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira wa Nchi za Afrika, Mkutano huu ni Kutathimini utekelezaji wa Makubaliano ya Mkutano wa 13 Uliofanyika Banako, Mali Mkutano  Unafanyika Nchini Tanzania Mjini Arusha kulia Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu.Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages