Rais Jakaya Kikwete(kushoto)akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Rashid Othman (katikati) na Mkuu wa Majeshi nchini Davis Mwamunyange(kulia)Uwanja
wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam jana
Wakati wa kumpokea Rais wa Msumbiji Armando Guebuza aliyewasili nchini
kwa ajili ya mkutano
wa dharura wa siku moja wa Kamati ya Ulinzi na Usalama (TROIKA)
uliofanyika tarehe 4.9.2012 mjini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku
moja utajadili mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokarisia ya Congo(DRC)





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)