
Mjane wa Daud Mwangosi, ameacha mjane na watoto wanne.


Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk Wilbrod Slaa Akiwasili


Katibu Mkuu wa CHADEMA
Dr. Wilbrod Slaa alipofika kwenye msiba wa familia ya hayati Daud Mwangosi kuwapo pole.

Mtoto wa hayati Daud Mwangosi akimsalimia Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr. Slaa kwa uchungu alipofika kuwapa pole.
Anayeangalia kulia ni Mzee Arcado Ntagazwa.Picha Zote na Mdau Maggid Mjengwa





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)