HAPA NDIPO WAANDISHI WA HABARI WANAPONIFURAHISHA JUU YA UTUNGAJI WA VICHWA VYA HABARI UNAOENDANA NA PICHA YENYEWE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HAPA NDIPO WAANDISHI WA HABARI WANAPONIFURAHISHA JUU YA UTUNGAJI WA VICHWA VYA HABARI UNAOENDANA NA PICHA YENYEWE

Kilichoandikwa yani kichwa cha habari cha Picha hiyo hapo katika Gazeti la Jamhuri kinaendana kabisa na picha hiyo. Hapa ndipo mimi huwa napenda waandishi wa habari kwasababu picha na kichwa cha habari vinzendana kabisa. Ni mawazo yangu na sikulazimishi huamini ninanvyoona mimi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages