Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akitowa sera za Chama chake kwa
wananchi waliofika katika uzinduzi wa kampeni katika viwanja vya skuli
ya bububu jana
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CUF Machana Khamis, akizinduwa Kampeni
za Uchaguzi wa Chama chake katika viwanja vya skuli ya bububu jana
Mgombea wa Chama cha CUF Issa Khamis akijitambulisha kwa Wananchi wa
Jimbo la Bububu wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo
unaofanyika kutokana na Kifo cha aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo hilo
Salim Amuor Mtondoo
Makamu Mwenyekiti wa CUF Machano Khamis, akimtambulisha Mgombea wa
Chama hicho Issa Khamis, kwa Wananchi wa Jimbo la Bububu katika Mkutano
wa Uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Skuli Bububu.
Waheshimiwa wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha
CUFya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa
CUF Taifa Machano Khamis.
Waheshimiwa wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha
CUFya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa
CUF Taifa Machano Khamis.
Wanachama wa CUF wakishangilia katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya
Jimbo la Bububu zilizofanyika katrika viwanja vya Skuli ya Bububu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)