RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MKUTANO WA SADC (TROIKA) JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MKUTANO WA SADC (TROIKA) JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais  Amarndo Guebuza wa Msumbiji (kushoto)   na Rais Hifikepunye Pohamba  wa Namibia  (kulia) na Rais Dk. JakayaMrisho  Kikwete wakiwa kwenye picha ya pamoja mara ya kusalimiana walipowasili  kwenye Hotel  ya Hyatt Regency kwa ajili ya mazungumzo ya Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA)mjini Dar es Salaam,jana
 Rais Hifikepunye Pohamba  wa Namibia(kushoto) wakiwa na mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. Jakaya Mrisho  Kikwete kwenye hotel ya Hyatt Regency mjini Dar es Salaam,jana
 Rais Joseph Kabila wa Jamhuri  ya Kidemokrasia  ya Kongo(kulia) na Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) wakizungumza kwenye hotel ya Hyatt  Regency wakisubiri ya asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA)mjini Dar es Salaam,jana
 Rais Amarndo Guebuza wa Msumbiji (kushoto)wakizungumza na Rais wa   Hifikepunye Pohamba  wa Namibia (kulia) kwenye Hotel ya Hyatt Regency mjini Dar es Salaam wakisubiri mazungumzo ya  ya Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA)mjini Dar es Salaam,jana
Marais wote wanne kutoka (kushoto) Rais  Amarndo Guebuza wa Msumbiji,wa pili kushoto ni Rais wa  Hifikepunye Pohamba  wa Namibia`na wakwanza kulia ni Joseph Kabila wa Jamhuri  ya Kidemokrasia  ya Kongo anayefuata kulia ni Mwenyeji  wa mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. Jakaya Mrisho  Kikwete wakisubiri  kuingia kwenye mkutano kwenye hotel Hyatt Regency ya mjini Dar es Salaa, jana.Picha Zote na Anna Itenda-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages