Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Rais wa Masuala ya Biashara za Kimataifa wa Kampuni ya TBEA ya China - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Rais wa Masuala ya Biashara za Kimataifa wa Kampuni ya TBEA ya China

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais wa Masuala ya Biashara za Kimataifa wa Kampuni ya TBEA ya China, Bw. Wang Pinshan kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam September 4, 2012. Kulia ni  Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo wa Masuala ya Biashara, Bw. Shi Qiwen na wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. Andy.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Masuala ya Biashara za Kimataifa wa Kampuni ya TBEA ya China,Bw. Wang Pinshan kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam September 4, 2012. Kulia ni Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo wa Masuala ya Biashara, Bw. Shi Qiwen na wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. Andy.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages