Mkurugenzi
wa kijiji cha watoto yatima cha SOS , Rita Khuranga (Mkurugenzi wa
SOS Tanzania Dr Daudi Makobore (mjumbe wa bodi)(wa mwisho kushoto)
wakipokea cheki ya shilingi milioni 2.000.000 kutoka kwa Bw. D.Ravi
Kumar wa kampuni ya Tanzania Tea Blanders, kwaajili ya kuwasomesha
watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto
yatima SOS. JIJINI DAR jana.
Mkurugenzi wa SOS Tanzania Dr
Daudi Makobore na Bw. D.Ravi Kumar wakibadilishana mikataba mara
baada ya kuasini msaada wa shilingi milioni kampuni ya Tanzania Tea
Blanders, kwaajili ya kuwasomesha watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa
katika kituo cha kulelea watoto yatima SOS. JIJINI DAR jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)