Spika wa Bunge Anne Makinda Atembelea Banda la Tanzania Kwenye Mkutano wa 6 wa miji na makazi ulimwenguni, mjini Napoli Italia - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Spika wa Bunge Anne Makinda Atembelea Banda la Tanzania Kwenye Mkutano wa 6 wa miji na makazi ulimwenguni, mjini Napoli Italia

Banda la maonesho la Tanzania katika ukumbi wa mkutano huo.
Spika Makinda akipokelewa na kukaribishwa na maafisa waandamizi wa Wizara ya Ardhi, Numba na Maendeleo ya Makazi katika banda hilo.
 Balozi Msekela na Spika Makinda wakipata maelezo ya ujenzi wa mji wa Kigambo ambao umekuwa moja ya kivutio kikubwa katika maonesho haya
 Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Goodluck Ole Medeye (kati) pamoja na Bolozi wa Tanzania nchini Italia Dkt J. A. Msekela (kushoto) wakiwa na mazungungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa International Ecological Safety Cooperative Organization Profesa Jiang Mingjun alipolitembelea banda la Tanzania
 Samani hizi zinafaa kwa matumizi ya nyumbani na ofisini
 Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kushoto) akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bi. Maria H. Bidila, Bolozi wa Tanzania nchini Italia, Dkt. James Alex Msekela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Mhe. Goodluck Ole Medeye  wakipeana msimamo wa kitaifa mara kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 6 wa miji na makazi ulimwenguni, mjini Napoli Italia leo. Zaidi ya nchi 150 zinatajia kudhuria mkutano huo.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge la vijana katika mkutano huo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Spika wa Tanzani.Picha na Habari na Prosper Minja-Bunge

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages