Serikali ya Japan imetoa Jumla ya dola za
kimarekani 243,698 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa mabweni 4 kwa
shule za sekondari za Nkowe wilayani Ruangwa Na Shule ya kutwa ya
Wasichana wilayani Nachingwea Hatua hiyo imekuja katika jitihada za Nchi
ya Japan kukuza Ushirikiano na Tanzania Balozi wa Japan Nchini Masaki
Okada leo amelala wilayani Ruangwa Mkoani Lindi ambapo kesho atatembelea
shule ya sekondari NKOWE na Baadae kuelekea Wilayani Nachingwea.Picha na Habari toka kwa Mdau Abdulaziz video rec
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)