WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA ZIARANI MISUNGWI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA ZIARANI MISUNGWI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Ofisi ya Msajili wa Ardhi ya Kijiji  Cha Matale wilayani  Misungwi katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 15,2012. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza  MhandisI Evarest Ndikilo na wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga.
Mmoja wasanii waliotumbuiza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa mpira wa misungwi akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 15, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages