SBL yakabidhi mradi wa maji Hospitali ya Temeke - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SBL yakabidhi mradi wa maji Hospitali ya Temeke

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti  Bw.Steve Gannon (kushoto) akitekja maji katika mradi wa maji uliodhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti katika hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kulia ni mkuu wa wilaya ya Temeke bi Sophia Mjema.
 Mkurugenzi Mtendaji SBL,  Steve Gannon (kushoto) na mkuu wa wilaya ya Temeke Bi Sophia Mjema (kulia ) wakizindua rasmi mradi wa maji wenye hifadhi wa zaidi ya lita 40000 kwa wakati mmoja ulidhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti. Wengine ni wafanya kazi na wageni waalikwa katika hospitali ya temeke.
Mkurugenzi mtendaji wa SBL. Teve Gannon akimtwish ndoo ya maji mkuu wa wilaya ya temeke bi Sophia Mjema

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages