JK azindua anuani za Makazi jiji la Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK azindua anuani za Makazi jiji la Dar es Salaam

 Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete  akikabidhiwa  anuani ya makazi ya Ikulu  na Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka wakati uzinduzi wa mfumo wa anuani Mpya za Makazi na nembo ya Simbo (Post code) uliofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages