
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mradi wa Ufugaji nyuki katika kijiji cha
Nkalalo wilayani kwimba akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza
Septemba 14, 2012. Nyuma yake ni mkewe Tunu na kushoto kwake ni Mkuu wa
Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya
ya Kwimba, Suleiman Mzee.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunuwakiwa wamevikwa mavazi ya kiongozi
wa jadi wa Sungusungu katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri
Mkuu kwenye uwanja wa mpira wa miguu wa Ngudu Septemba 14, 2012.

Baadhi
ya Wananchi wa Wilaya ya Kwimba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa mpira wa
miguu wa Ngudu akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 14,2012.

Baadhi
ya Wananchi wa Wilaya ya Kwimba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa mpira wa
miguu wa Ngudu akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba
14,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)