Rais Mwai Kibaki wa Kenya Amwandalia Rais Jakaya Kikwete Dhifa ya Kitaifa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Mwai Kibaki wa Kenya Amwandalia Rais Jakaya Kikwete Dhifa ya Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Rais Mwai E. Kibaki  baada ya  Dhifa ya Kitaifa  aliyoandaliwa katika hoteli ya Inter Continental.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akijibu hotuba na baadaye kunyanyua glasi juu kuwatakia afya njema wenyeji wake wakati wa Dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima yake katika hoteli ya Inter Continental.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akigonganisha glasi na Rais Mwai E. Kibaki wakati wa Dhifa ya Kitaifa  katika hoteli ya Inter Continental.
  Rais Mwai E. Kibaki akiongea wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika hoteli ya Inter Continental.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akijibu hotuba na  kuwatakia afya njema wenyeji wake wakati wa Dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima yake katika hoteli ya Inter Continental.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na  Rais Mwai E. Kibaki, Waziri Mkuu wa Kenya Mhe Raila Odinga (kushoto) na Makamu wa Rais  wa Kenya Mhe Kalonzo Musyoka kabla ya  Dhifa ya Kitaifa  waliyoandaliwa na mwenyeji wao.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages