NMB YATOA MADAWATI 50 SHULE YA MSINGI HEKIMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NMB YATOA MADAWATI 50 SHULE YA MSINGI HEKIMA

 Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kulia) akipeana mkono na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Hekima iliyopo Manispaa ya Ilala, katika hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa na Benki ya NMB
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Hekima iliyopo katika Manispaa ya Ilala, wakifurahia madawati yaliyotolewa na benki ya NMB jana kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la uhaba wa madawati shuleni hapo. Msaada huo umetolewa siku moja kabla ya kuanza kwa mtihani wa taifa wa darasa la saba.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga (kushoto) akipeana mkono na Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kulia) wakati wa makabidhiano ya madawati 50 yenye thamani ya sh milioni 5

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages