Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini (TAMWA) Ananilea Nkya, akimkaribisha Mbunge wa Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji katika Ofisi za TAMWA.
Mbunge
wa Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akimkabidhi kiasi cha Shilingi
milioni mbili, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari
Wanawake nchini (TAMWA) Ananilea Nkya, ikiwa ni mchango wa mbunge huyo
kwa TAMWA katika kuendeleza harakati zake nchini.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)