Airtel yadhamini matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya shule ya sekondari Shaban Robert - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Airtel yadhamini matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya shule ya sekondari Shaban Robert

Wafanyakazi wa Airtel wakiwa katika kituo kimoja wapo cha kugawa maji wakati wa matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya shule ya sekondari ya Shabaani Robert jumapili na kuongozwa na Raisi Mstaafu  wa  awamu ya pili Mh. Ali Hassan Mwinyi,  Airtel ilikuwa ni moja kati ya wadhamini wa maadhimisho hayo
Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akigawa maji kwa washiriki zaidi ya 2000 walishiriki katika matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya shule ya sekondari ya Shabaani Robert yaliyofanyika jumapili na kuongozwa na Raisi Mstaafu wa awamu ya pili Mh. Ali Hassan Mwinyi,  Airtel ilikuwa ni moja kati ya wadhamini wa maadhimisho hayo

Wafanyakazi wa Airtel wakiwa katika kituo cha kugawa maji katika matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya shule ya sekondari ya Shaabani Robert ambapo pamoja na kushiriki katika zoezi hilo Airtel ilikuwa ni moja kati ya wadhamini

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages