RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA BAGAMOYO - MSATA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA BAGAMOYO - MSATA

Rais Dk Jakaya Kikwete (katikati) akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Msata uliofanyika katika kijiji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo leo mchana. Wengine katika picha kutoka (kushoto) ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Pwani ambaye pia ni Mkuu  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik (wa pili kushoto), Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli (wanne kushoto) na kulia ni Waziri wa Mazingira Mh Theresa Hoviza. (Picha Zote na Freddy Maro)
Sehemu ya Barabara ya Bagamoyo - Msata iliyojengwa kwa kiwango cha lami ambayo ujenzi wake ulizinduliwa rasmi leo na Rais Dk Jakaya Kikwete, huko Kiwangwa, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages