MSONDO NGOMA YAENDELEA KUKONGA MASHABIKI KWA KUTOA BURUDANI ILALA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MSONDO NGOMA YAENDELEA KUKONGA MASHABIKI KWA KUTOA BURUDANI ILALA

Mpigas Drams wa msondo ngoma Saddy Ally akiwajibika katika onesho la bendi hiyo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa max bar Ilala Bungoni
Waimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kushoto ni Shabani Dede na Eddo Sanga 
Waimbaji wa Bendi ya Msondo wakitoa burudani kushoto ni Eddo San ga na Juma Katundu
Wapiga Magitaa wa bendi ya Msondo Ngoma wakifulumusha burudani wakati wa bendi hiyo ilipotumbuiza katika ukum bi wa Max Bar Ilala Bungoni  kushoto ni Abdull Ridhiwani na Zahoro Bangwe Picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages