Redds
Miss kanda ya Kaskazini Warida Frenk katikati akiwa na washindi
wenzake Anande Raziel kulia na lucy stefano kushoto mara baada ya
kutawazwa kuwa washindi wa Redds Miss Kanda ya kaskazini,Washindi hao
wanatarajiwa kujiunga kwenye kambi ya Redds Miss Tanzania hapo baadae
ili kujiandaa na shindano la Taifa la Redds Miss Tanzania
Warembo
waliofanikiwakiwa kuingia hatua ya tano bora kwenye shindano la Redds
Miss kanda ya Kaskazini wakiwa katika Picha ya pamoja kabla ya
kutangazwa kwa washindi waliofanikiwa kushika nafasi tatu za juu ambapo
Washindi hao wanatarajiwa kujiunga kwenye kambi ya Redds Miss Tanzania
hapo baadae ili kujiandaa na shindano la Taifa la Redds Miss Tanzania
Warembo
waliofanikiwakiwa kuingia hatua ya Kumi bora kwenye shindano la Redds
Miss kanda ya Kaskazini wakiwa katika Picha ya pamoja kabla ya
kutangazwa kwa washindi waliofanikiwa kushika nafasi tatu za juu ambapo
Washindi hao wanatarajiwa kujiunga kwenye kambi ya Redds Miss Tanzania
hapo baadae ili kujiandaa na shindano la Taifa la Redds Miss Tanzania
Redds Miss kanda ya Kaskazini Warida Frenk katikati akiwa na washindi
wenzake Anande Raziel kulia na lucy stefano kushoto mara baada ya
kutawazwa kuwa washindi wa Redds Miss Kanda ya kaskazini,Washindi hao
wanatarajiwa kujiunga kwenye kambi ya Redds Miss Tanzania hapo baadae
ili kujiandaa na shindano la Taifa la Redds Miss Tanzania
Mkurugenzi
wa Lino Ageny Hashimu Lundenga katikati akifuatilia kwa ukaribu
shindano la Redds Miss kanda ya Kaskazini wakati warembo mbalimbali
waliotoka katika mikoa ya Kilimanjaro,Manyara,Tanga na Arusha
wakipepetana kumtafuta mshindi wa taji la Redds Miss Kanda ya Kaskazini
ambapo Mlimbwende Warida Frenk aliibuka mshindi akifuatiwa na Anande
Raziel na Lucy Stefano.Washindi hao wanatarajiwa kujiunga
kwenye kambi ya Redds Miss Tanzania hapo baadae ili kujiandaa na
shindano la Taifa la Redds Miss Tanzania

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)