
Naibu
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa
Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala ya Baraza hilo Bw. Ally Abdallah
Ally (wa pili kushoto) akioneshwa jinsi Makataba mtandao ya Tume ya
Kurekebisha Sheria Tanzania inavyofanya kazi, wa pili kulia nyuma ni
Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Beatrice Korosso.

Mwenyekiti
wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Profesa Ibrahim Juma
akimkabidhi Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh. Ally Abdallah Ally
baadhi ya Ripoti zilizofanyiwa kazi na Tume..

Mwenyekiti
wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Profesa Ibrahim Juma
akiandika baadhi ya hoja zilizokuwa zikiulizwa na wajumbe wa kamati ya
Sheria, Katiba na Utawala ya Baraza la wawakilishi.

Wajumbe
wa Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala wa Baraza la Wawkilishi wakiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa Tume ya Kurekebisha Sheria
Tanzania, wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Profesa Ibrahim
Juma, akifuatiwa na Naibu Spika wa Baraza la wawakilishi Mh. Ally
Abdallah Ally na Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Beatrice Korosso





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)