MAMA SALMA KIKWETE KATIKA MKUTANO WA 'THE RAND' NCHINI MAREKANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA MKUTANO WA 'THE RAND' NCHINI MAREKANI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Mke wa Rais Mstaafu wa Marekani Mama Laura Bush wakati wa kikao cha 'The Rand African First Ladies Initiative' kilichofanyika New York nchini Marekani tarehe 26.9.2012. The Rand African First Ladies Initiative ni washirika wa maendeleo wa wake wa marais na wakuu wa nchi za Afrika wanaoshughulikia kuleta mabadiliko ya afya na elimu kwa mamilioni ya wanawake na watoto  barani humo.Picha na John Lukuwi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages