NEWS ALERTS:Hali NI Tete uwanja wa Kilombero ma tyre yachomwa moto, Polisi watoa onyo wananchi watawanyike kwa amani - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NEWS ALERTS:Hali NI Tete uwanja wa Kilombero ma tyre yachomwa moto, Polisi watoa onyo wananchi watawanyike kwa amani

 Hivi Ndivyo wananchi wanavyo Choma matail muda huu eneo la uwanja wa Kilombero ambao uliuzwa kinyemela na sasa wananchi wamerudisha na kulifanya soko.
 Hapa Wakati wanachoma Mbao pamoja na Mataili wananchi wengine wanabomoa bomoa uzio
Muda mchache sasa Fire wamesha fika kwa ajili ya kuzima moto, wakati huo vurugu ndio zinanukia kuanza huku. Wananchi wa Arusha warejesha Kiwanja chao cha wazi kilicho kuwa kimeuzwa na kuweka soko
 Umati wa watu wakiwa wanaandamana kuvunja uzio na kuweka soko  mikononi mwao
 Magari yakiwa yamepaki kwa usalama 
ENDELEA KUFUATILIA HAPA HAPA.Endelea Kufuatilia Habari Kwa Hisani ya Blog Za Mikoa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages