JE TANGAZO HILI HALISOMEKI AU HAJUI KUSOMA LUGHA ZOTE MBILI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JE TANGAZO HILI HALISOMEKI AU HAJUI KUSOMA LUGHA ZOTE MBILI

 
Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni inayojenga Daraja la Kigamboni  ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiendelea na zoezi la kupiga picha huku akiwa amesimama kwenye mtambo unaopitisha umeme mwingi bila kuchukua tahadhali wakati waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi wa  daraja hilo la kigamboni hapo jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages