TANGA CEMENT YADHAMINI MASHINDANO YA WAZI YA KIMTAIFA YA TENISI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TANGA CEMENT YADHAMINI MASHINDANO YA WAZI YA KIMTAIFA YA TENISI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kushoto) akikabidhi vikombe kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Tenisi Tanzania (TTA), Inger Njau, watakavyopewa washindi wa mashindano ya Wazi ya Tenisi ya Kimataifa ya Simba Cement yaliyoanza jana kwenye Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam. Tanga Cement imetoa Dola za Kimarekani 14,000 kudhamini mashindano hayo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages