Karani wa Sensa Mosi Makame Haji akifanya kazi yake ya
kuwaandika watu katika Shehiya ya Kihinani Mkoa wa Mjini Magharibi
katika zoezi la Sensa linaloendea nchini Kote.
Baadhi ya Makarani wa Sensa wakiwa katika kazi ya kuweka nambari
sawa katika madodoso baada ya kuwaandika watu katika zoezi la Sensa
linaloendelea Nchini kote
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Hassan Mussa Takrima
akizungumza na Wandishi wa Habari kuhusiana na zoezi la Sensa hapo
katika Ofisi yake Mwera Mjini Zanzibar.Picha na Yussuf Simai,Maelezo-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)