CLOUDS MEDIA GROUP WATOA MISAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA, TANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CLOUDS MEDIA GROUP WATOA MISAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA, TANGA

Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioi kilichopo Raskazone, Tanga akimkaribisha Afisa Mahusiano wa Clouds Media Group Simalenga Simon wakati alipoiongoza timu nzima ya Serengeti Fiesta 2012 kutoa misaada katika kituo hicho.
Watoto Yatima wa kituo cha Casadella Gioia wakiwakaribisha wageni kwa kuwaimbia wimbo.
 Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego akiwakaribisha wageni mara baada ya kuungana na Watoto Yatima wa kituo Casadella Gioia mara baada ya timu nzima ya Clouds Media Group kutembelea kituo hicho.
Msanii wa Kizazi Kipya, Juma Nature akiwa amebeba moja ya mizigo iliyotolewa.
 Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioia kilichopo Raskazone, Tanga akipokea misaada kwa Afisa Mahusiano wa Clouds Media Group Simalenga Simon (wakiwa wameshikana Mikono) katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego.
 Wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
 Wasanii waliotembelea kituo hicho.
Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioia kilichopo Raskazone, Tanga akiwakaribisha wageni.
 Watoto wakisikiliza kwa makini.
Afisa Mahusiano wa Clouds Media Group Simalenga Simon akieleza machache kabla ya kukabidhi misaada yao.
 Msanii wa Kizazi Kipya Gonzila akieleza machache mbele ya wageni.
 Msanii wa Kizazi Kipya, Juma Nature akitoa machache.
Baadhi ya viongozi wa Kituo hicho walipoungana na watoto kuwapokea wageni.
Kiongozi wa Watoto akiwatambulisha wenzake wakati walipotembelewa na Timu nzima ya Serengeti Fiesta 2012 ilipotembelea kituoni kwao.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages