Meneja wa Benki ya NMB, Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kushoto)
akibofya kwenye kompyuta kuwapata washindi wa promosheni ya 'Jenga
Maisha Yako na NMB' katika droo iliyofanyika, Dar es Salaam leo.
Meneja wa Benki ya NMB, Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kushoto)
akibofya kwenye kompyuta kuwapata washindi wa promosheni ya 'Jenga
Maisha Yako na NMB' katika droo iliyofanyika, Dar es Salaam jana, ambapo
baadhi ya washindi watazawadia mabati, saruji ada ya shule, mteja
kuongezewa amana maradufu na zawadi nyingine lukuki. Wanaoshuhudia ni
Mratibu wa Miradi wa Selcom Wireless, Everline Simpilu PICHA
ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)