Gari
ya Abiria aina ya Isuzu Journey, linalofanya kazi za kusafirisha abiria
(Daladala) likiteketea kwa moto jana mchana maeneo ya Buguruni Rozana
jijini Dar es salaam. Chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mara
moja na katika ajali hiyo ya moto hakuna aliyejeruhiwa wala kupoteza
maisha. Picha na Mpiga Picha wetu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)