Baadhi ya Mabalozi, wakiwemo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Mhe. Filiberto Ceriani Sebregondi (kulia) na Naibu
Balozi wa Ujerumani nchini, Mhe. Hans Koeppel (katikati),
wakimsikiliza Mhe. Waziri Membe wakati akizungumza nao jana katika
Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Mabalozi, wakiwemo Balozi wa Malawi, Mhe. Flosie Asekanao
Gomile-Subiaomba (wa tano kutoka kushoto) na Mabalozi kutoka nchi za
Nigeria, Pakistani, Palestina, Rwanda, Somalia na nchi nyingine,
wakimsikiliza Mhe. Waziri Membe wakati akizungumza nao jana katika
Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
(Mb.) akizungumza masuala mbalimbali na Mabalozi na Wawakilishi wa
Mashirika ya Kimataifa hapa nchini jana katika Ukumbi wa Karimjee, jijini
Dar es Salaam. Pichani ni Balozi Rajab Gamaha (kulia), Kaimu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na
Mhe. Balozi Juma Mpango (kushoto) wa Kongo DRC ambaye pia ni Kiongozi
wa Mabalozi hapa nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.(MOFA)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)