RAIS WA ZANZIBAR DK ALI SHEIN AFANYA MAZUNGUMZA NA MABALOZI WA KOREA NA DENMARK IKULU YA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS WA ZANZIBAR DK ALI SHEIN AFANYA MAZUNGUMZA NA MABALOZI WA KOREA NA DENMARK IKULU YA ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi wa Korea nchini Tanzania, Kim Young Hoon, alipofika kumuaga Rais, Ikulu mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Johnny Flento,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana, baada ya mazungumzo yao.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Johnny Flento, alipofika Ikulu mjini Zanzibar jana, kwa mazungumzo na Rais
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Johnny Flento, alipofika Ikulu mjini Zanzibar jana, kwa mazungumzo na Rais
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Korea nchini Tanzania, Kim Young Hoon, alipofika kumuaga Rais, Ikulu mjini Zanzibar jana.Picha na Ramadhan Othman, Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages