BODABODA YAGONGA DALADALA JIJINI DAR ES SALAAM, DEREVA WAKE AFA PAPOHAPO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BODABODA YAGONGA DALADALA JIJINI DAR ES SALAAM, DEREVA WAKE AFA PAPOHAPO

 Baadhi ya watu wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 871 BGY linalofanya safari zake kati ya Mwenge na Temeke lililogongana na pikipiki katika makutano ya barabara ya Chang’ombe na Nyerere jijini Dar es Salaam leo.Picha Zote na Mdau Francis Dande

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages