Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha maombolezo ya
kifo cha Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda, Mhashamu Pascal
William Kikoti kwenye nyumba ya Askofu ilioyoko makao makuu ya jimbo la
Mpanda Agust 30, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)