Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar Mohd Hafidh Rajab,akitoa
maelezo kuhusiana na Maendeleo ya Matayarisho ya Sensa ya watu na
Makaazi katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Wakufunzi Ngazi ya Wilaya Haile
Selassie Mjini Zanzibar.Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Mjini Kanal
Mstaafu Abdi Mahmoud na Kushoto yake ni Mratib wa Sensa Mayasa Mahfudha.
Baadhi ya Wakufunzi wa Mafunzo ya Sensa ya Watu na Makaazi Ngazi ya
Wilaya wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mgeni Rasmi hayupo pichani huko
katika Ufunguzi wa Mafunzo hayo Haile Selassie Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)