Wananchi waliofika kupokea mwenge wa UHURU jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha leo. |
Mwenge wa UHURU ukiwa umetulizwa ili wananchi waliofika waungalie kwa umakini jijini Arusha. |
Kiongozi wa mwenge akitoa muongozo jinsi mwenge wa UHURU utakavyo kimbizwa jijini Arusha leo. |
wananchi wakiutazama mwenge wa UHURU leo ,jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha |
Waongoza mwenge wakitoa muongozo jinsi mwenge wa UHURU utakvyo kimbizwa jijini Arusha leo. |
wananchi wakiutazama mwenge wa UHURU leo ,jijini Arusha,kwenye viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha |
Wananchi walioteuliwa kupokea mwenge ,wakiupokea mwenge wa UHURU jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha leo. |

Wananchi walioteuliwa kupokea mwenge ,wakiupokea mwenge wa UHURU leo ,jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha leo. |
mwenge eeh mwenge ...mwenge tunaukimbiza.....!!! |
waongoza mwenge wakielekea ndani ya viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha. |
Wananchi wakielekea kwenye viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha. |
wananchi wakiutazama mwenge wa UHURU leo jijini Arusha,kwenye viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha |
wananchi wakiutazama mwenge wa UHURU leo jijini Arusha,kwenye viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha. |
wananchi wakiutazama mwenge wa UHURU leo ,jijini Arusha,kwenye viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha |
Mwenge wa UHURU ukiwa umefika kwenye viwanja vya chuo cha ufundi Arusha, jijini Arusha leo. |
Hapa ni mkuu wa msafara akitoa maelekezo kwenye eneo la chuo cha Ufundi cha Arusha jinsi watu watakavyo piga picha na mwenge wa UHURU jijini Arusha Leo. |
Hapa ni wanafunzi wa chuo cha Ufundi cha Arusha wakipiga picha na mwenge wa UHURU jijini Arusha Leo. |
Hawa wote ni wanafunzi wa chuo cha Ufundi cha Arusha wakipiga picha na mwenge wa UHURU jijini Arusha Leo. |
Hawa ni wanafunzi wa chuo cha Ufundi cha Arusha wakipiga picha na mwenge wa UHURU jijini Arusha Leo.Picha Kwa Hisani ya Wazalendo25 Blog |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)