TANGAZO KWA UMMA YAHUSU WANANCHI KWA UJUMLA NA WAHANGA WA BOMOA BOMOA NYUMBA ZA WAKAZI WA KOTA ZA GEREZANI KARIAKOO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TANGAZO KWA UMMA YAHUSU WANANCHI KWA UJUMLA NA WAHANGA WA BOMOA BOMOA NYUMBA ZA WAKAZI WA KOTA ZA GEREZANI KARIAKOO



Mwanasheria wa wakazi wa zilizokua kota za bandari Gerezani , Dkt. Sengondo Mvungi (kulia) akizungumza na wateja wake. Dar es salaam  Katika moja ya mikutano na wakazi hawo kuhusu maendeleo ya kesi yao iliyo mahakama kuu ya Tanzania na  kwa mujibu wa kesi namba 44 ya mwaka 2012 taarifa zilizochapishwa na mtendaji mkuu wa  wakala wa usafiri wa  haraka 'DART' kwa wahanga wakapokee fidia zao linakiuka  amri ya Mahakama Kuu,iliyotajwa tarehe 28,6,2012  hivyo mnashauliwa kuto tii agizo hilo pia waanga wa bomoa bomoa wanalifiwa kuhudhuria kikao cha pamoja na wakili ni tarhe 11,8,2012
katika ukumbi mtakaoarifiwa na kamati yao Imetolewa na DR,Sengondo Mvungi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages