Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akifuatana na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dk.
Asha Rose Migiro,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana
na Ajali ya meli ya Mv Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao
hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dk.
Asha Rose Migiro,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana
na Ajali ya meli ya Mv Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao
hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda, alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na Ajali ya meli ya Mv
Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda, alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na Ajali ya meli ya Mv
Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni.Picha
na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)