PINDA ATOA POLE YA AJALI YA MELI ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

PINDA ATOA POLE YA AJALI YA MELI ZANZIBAR

  Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye alikwenda  kwenye Ikulu ya Zanzibar, Agosti 3, 2012 kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwenzi uliopita.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa  Zanzibar, Balozi Seif Iddi kwenye Ofisi za Baraza la Wawakilishi Mjini Zanzibar wakati alipokwenda kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Sagit iliyotokea mwezi uliopita.
 Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye Agosti 3, 2012 alikwenda Ikulu ya Zanzibar kumpa pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwezi uliopita.
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye alikwenda Ikulu ya Zanzibar Agosti 3,2012  kutoa pole kufatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwezi uliopita. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages