Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua
awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa
Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 20`12
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia mamia ya wananchi wakati akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa
Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti
15, 20`12
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua
kitabu cha awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII)
katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 20`12.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Iddi kitabu cha uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko
wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
leo Agosti 15, 20`12. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue kwa niaba ya Rais wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin
William Mkapa wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo
ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti
15, 20`12. Pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi tuzo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Dr Servacius Likwelile wakati
wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII)
Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 20`12. pamoja naye ni
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Iddi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilekea
kukagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko
wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo
Agosti 15, 20`12. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais (Uratibu na Mahusiano), Mhe Steven Wassira
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga wakati akikagua mabanda ya maonesho wakati
wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII)
Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 20`12. pamoja naye ni
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Iddi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mabanda ya maonesho wakati wa
uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII)
Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 20`12. pamoja naye ni
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Iddi.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)