SKIN SOLUTIONS NDIO JIBU LA NGOZI YAKO "wamekuja na mzigo mpya kwaajili ya Idd wahi sasa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SKIN SOLUTIONS NDIO JIBU LA NGOZI YAKO "wamekuja na mzigo mpya kwaajili ya Idd wahi sasa

Wauzaji wa vipodozi vya kisasa na vya aina yake SKIN SOLUTION waliopo Mikocheni kwa Mwinyi jirani na Baraka Plazza jijini Dar es Salaam au zilipokuwa Ofisi za Share Illusion wamekushushia mzigo mpya maalum kwa ajili ya Idd El Fitri.

Nenda Skin Solutions ukayajue mengi na utapata ushauri unaoendana na ngozi yako juu ya kipodozi gani ukitumie na kikufanye upendeze kama ni MAKARI  au OBAGI utajua hapo!!.
Kama kawa Obagi wameongeza za kutosha baada ya za kwanza kumalizika!! uzuri wa wateja wa Skin Solutions wako tayari kutushuhudia mtaona hapa hapa
 Bidhaa maksusi kwaajili ya kusaidia kuiweka ngozi yako kuwa nyororo na yakuvutia daima na iliyo na afya. Ununuapo hii unapata vitu kibao kama vile Special daily wash, toner, moisturizer with spf 15. 
VIPODOZI ZAIDI BOFYA.PICHA NA  FATHER KIDEVU BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages