Jina lake: TIBA HARUNA (miaka 29, mrefu wa futi 5)
amepotea kuanzia tarehe 27 Juni 2012.
Anaishi Buza kwa Mama Kibonge, Temeke.
TIBA anatatizo la akili na mara ya
mwisho alikuwa amevaa sketi na blauzi ya batiki ya rangi yaKijani na
nyeupe, alifunga kilemba cheupe na khanga yenye maua ya njano.
TIBA amepotea na MWANAE WA KIUME - HARUNA (2)
alikuwa amevaa fulana yenye mistari mieupe na bluu na kaptura yenye mistari miekundu.
Taarifa imetolewa kituo cha polisi Makangarawe Yombo IWAPO UTAMUONA YEYE AU MTOTO
TUNAKUOMBA UTOE TAARIFA KITUO CHA POLISI KILICHO KARIBU AU WASILIANA NA:
Kijakazi M. Salim
- 0754-891587
Mwanamtama M. Salim - 0768-359091
Mohamed N. Majembe - 0653-409909
Mohamed M. Mgomba - 0786-220815
Nashukuru kwa msaada wako, na M'Mungu atakulipa Inshaalah - Amin
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)