Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Atembelea Wafanyabiashara wa Jua Kali Saateni Zanzibar. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Atembelea Wafanyabiashara wa Jua Kali Saateni Zanzibar.

  Mfanyabiashara ya mitumba katika soko la Saateni akitoa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad  alipotembelea eneo hilo jana.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiulizia bei ya viatu, wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la biashara la Saateni mjini Zanzibar.maaarufu kwa jina la jua kali.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiangalia biashara ya mitumba, wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la biashara la Saateni mjini Zanzibar.
 Mfanyabiashara wa soko la Saateni  Khamis Ali Mohd  akitoa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad  kuhusiana na hali ya kudorora kwa biashara katika soko hilo, wakati Maalim Seif alipotembelea eneo hilo jana.Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages