Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akimtambulisha kwa wanaharakati Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari
wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo
chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika
harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na
ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli
ya Serena jijini Dar.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari huku pembeni yake akiwepo Mbunge mstaafu wa Jimbo la Arusha Godbless Lema.
Wanaharakati mbali mbali waliojitokeza kuhudhuria hafla hiyo.
Picha zote Kwa Hisani ya Kajunason Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)