Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa
akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mgeta katika jimbo la Kilombero
mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya mikutano ya operesheni Sangara.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa
akiongozana na viongozi mbali mbali wa chama hicho, walipokuwa wakivuka
katika kivuko cha mto Kilombero wakitokea jimbo la Kilombero kuelekea
jimbo la Ulanga Magharibi, katika mikutano ya Operesheni Sangara
inayoendelea katika mkoa wa Morogoro. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa mkoa
wa Tabora, Kansa Mbaruok.Picha na Joseph Senga
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)