PICHA HII IMEPIGWA MAENEO YA MAGOMENI SOMANGA, HUYU BWANA
KASHEREKEA IDD NA KICHAPO, ALIKUWA KALEWA CHAKARI MIDA YA SAA TISA
MACHANA, VIBAKA WAKAMUOTEA, WAMEMUIBIA VITU VYAKE NA KUMPA KICHAPO NA
KUMUACHA AKIWA HOI KAMA UNAVYOONA PICHA HIYO, ALIKUJA KUCHUKULIWA NA
POLISI MAJIRA YA SAA MOJA USIKU BAADA YA RAIA WEMA KUTOA TARIFA POLISI
ILI ASIJE KUKANYAGWA NA MAGARI MAANA GIZA LILIKUWA LISHAINGIA SANA.
NA
MDAU
NASIBU Sang'anya
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)