Zaidi ya tani tatu na nusu ya madawa ya kulevya aina ya bangi yameteketezwa na jeshi la polisi mkoani Arusha katika
kukamilisha operesheni ya kupambana na uhalifu na madawa ya kulevya
inayoendelea mkoani hapa kwa mujibu wa mrakibu wa polisi na kaimu
kamanda wa jeshi hilo mkoani hapa Zuberi Mombeji alisema kuwa zoezi hilo
ni endelevu na kuwataka wananchi mkoani hapa kutoa ushirikiano katika
kutokomeza vitendo vya kihalifu.
Baadhi
ya maofisa wa polisi akiwemo msemaji wa jeshi hilo mkoani hapa Rashid
Nchimbi wakiangalia zoezi hilo likiendelea kwenye sehemu wanaochomea
madawa hayo eneo la FFU nje kidogo ya jiji la Arusha.Picha naMahmoud Ahmad Arusha
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)